1 Wakorintho 12:1-2
1 Wakorintho 12:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndugu, kuhusu vipaji vya kiroho, napenda mfahamu vizuri mambo haya: Mnajua kwamba, kabla ya kuongoka kwenu, mlitawaliwa na kupotoshwa na sanamu tupu.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 121 Wakorintho 12:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi, ndugu zangu, kuhusu karama za roho, sitaki mkose kufahamu. Mwajua ya kuwa mlipokuwa watu wa Mataifa, mlichukuliwa kufuata sanamu zisizonena, kama mlivyoongozwa.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 12