1 Mambo ya Nyakati 17:3-4
1 Mambo ya Nyakati 17:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini usiku uleule, neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Nathani, kusema, “Nenda ukamwambie mtumishi wangu Daudi, ‘Mwenyezi-Mungu anasema hivi: Wewe hutanijengea nyumba ya kukaa.
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 171 Mambo ya Nyakati 17:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ikawa usiku uo huo, neno la Mungu likamjia Nathani, kusema, Nenda, kamwambie mtumishi wangu, Daudi, BWANA asema hivi, Wewe hutanijengea nyumba ya kukaa
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 17