1 Mambo ya Nyakati 17:27
1 Mambo ya Nyakati 17:27 Biblia Habari Njema (BHN)
kwa hiyo nakuomba uibariki nyumba yangu, mimi mtumishi wako, ili idumu milele mbele yako; kwani unachobariki wewe, huwa kimebarikiwa milele.”
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 171 Mambo ya Nyakati 17:27 Swahili Revised Union Version (SRUV)
nawe sasa umekuwa radhi kuibarikia nyumba ya mtumishi wako, ipate kudumu milele mbele zako; kwa maana wewe, BWANA, umebarikia, nayo imebarikiwa milele.
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 17