Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 15:1

Ufunuo 15:1 BHN

Kisha nikaona ishara nyingine mbinguni, kubwa na ya kushangaza. Palikuwa hapo malaika saba wenye mabaa saba ya mwisho. Kwa mabaa hayo saba, ghadhabu ya Mungu imekamilishwa.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 15:1

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha