Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 30:8-9

Zaburi 30:8-9 BHN

Nilikulilia wewe, ee Mwenyezi-Mungu; naam niliomba dua kwako ee Mwenyezi-Mungu: “Je, utapata faida gani nikifa na kushuka hadi kwa wafu? Je, mavumbi ya wafu yanaweza kukusifu? Je, yanaweza kusimulia uaminifu wako?

Soma Zaburi 30

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 30:8-9

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha