Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Methali 31:18-19

Methali 31:18-19 BHN

Hutambua kwamba shughuli zake zina faida; hufanya kazi hata usiku kwa mwanga wa taa yake. Husokota nyuzi kwa mikono yake mwenyewe, kwa vidole vyake mwenyewe husuka nguo zake.

Soma Methali 31

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Methali 31:18-19

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha