Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wafilipi 2:21-22

Wafilipi 2:21-22 BHN

Wengine wanashughulikia tu mambo yao wenyewe badala ya kuyashughulikia mambo ya Yesu Kristo. Nyinyi wenyewe mwafahamu jinsi Timotheo alivyo thabiti; yeye na mimi, kama vile mtoto na baba yake, tumefanya kazi pamoja kwa ajili ya Injili.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Wafilipi 2:21-22

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha