Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 4:26-27

Marko 4:26-27 BHN

Yesu akaendelea kusema, “Ufalme wa Mungu ni kama ifuatavyo. Mtu hupanda mbegu shambani. Usiku hulala, mchana yu macho na wakati huo mbegu zinaota na kukua; yeye hajui inavyofanyika.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Marko 4:26-27

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha