Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 22:17-19

Mathayo 22:17-19 BHN

Haya, tuambie maoni yako. Je, ni halali au la, kulipa kodi kwa Kaisari?” Lakini Yesu alitambua uovu wao, akawaambia, “Enyi wanafiki mbona mnanijaribu? Nionesheni fedha ya kulipia kodi.” Nao wakamtolea sarafu ya fedha.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 22:17-19

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha