Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yobu 37:12-13

Yobu 37:12-13 BHN

Kwa amri yake vyote huzunguka huku na huko, kutekeleza kila kitu anachokiamuru, kufanyika katika ulimwengu wa viumbe. Mungu hutekeleza matakwa yake duniani; iwe ni kwa ajili ya kuwaadhibu watu, au kwa ajili ya kuonesha upendo wake.

Soma Yobu 37

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yobu 37:12-13

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha