Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 4:22

Yeremia 4:22 BHN

Mwenyezi-Mungu asema: “Watu wangu ni wapumbavu, hawanijui mimi. Wao ni watoto wajinga; hawaelewi kitu chochote. Ni mabingwa sana wa kutenda maovu, wala hawajui kutenda mema.”

Soma Yeremia 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yeremia 4:22

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha