Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waefeso 5:8-9

Waefeso 5:8-9 BHN

Zamani nyinyi mlikuwa gizani, lakini sasa nyinyi mko katika mwanga kwa kuungana na Bwana. Ishini kama watoto wa mwanga, maana matokeo ya mwanga ni wema kamili, uadilifu na ukweli.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waefeso 5:8-9

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha