Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wakorintho 1:15-16

2 Wakorintho 1:15-16 BHN

Nikiwa na matumaini hayo, nilikusudia kuja kwenu hapo awali ili mpate baraka maradufu. Nilikusudia kupita kwenu nikiwa safarini kwenda Makedonia na wakati wa kurudi pia, ili nipate msaada wenu kwa safari yangu kwenda Yudea.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Wakorintho 1:15-16

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha