Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wathesalonike 4:1

1 Wathesalonike 4:1 BHN

Hatimaye, ndugu zangu, mmejifunza kutoka kwetu namna mnavyopaswa kuishi ili kumpendeza Mungu. Na kweli mmekuwa mnaishi hivyo. Sasa tunawaombeni na kuwasihi kwa jina la Bwana Yesu mfanye vema zaidi.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wathesalonike 4:1

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha