Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wathesalonike 3:1-2

1 Wathesalonike 3:1-2 BHN

Mwishowe hatukuweza kuvumilia zaidi. Basi, tuliamua kubaki kule Athene peke yetu, na kumtuma kwenu ndugu yetu Timotheo, ambaye ni mfanyakazi mwenzetu kwa ajili ya Mungu katika kuhubiri Habari Njema ya Kristo. Tulimtuma ili awaimarisheni na kuwafarijini

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wathesalonike 3:1-2

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha