Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wathesalonike 2:13

1 Wathesalonike 2:13 BHN

Tena tunayo sababu nyingine ya kumshukuru Mungu: Tulipowaleteeni ujumbe wa Mungu, nyinyi mliusikia, mkaupokea, si kama vile ujumbe wa binadamu, bali kama ujumbe wa Mungu, na kweli ndivyo ulivyo. Maana Mungu anafanya kazi ndani yenu nyinyi mnaoamini.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wathesalonike 2:13

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha