Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wafalme 3:16-17

1 Wafalme 3:16-17 BHN

Siku moja, wanawake wawili makahaba, walikwenda kwa mfalme Solomoni. Mmoja wao akasema, “Ee bwana wangu, mimi na huyu mwenzangu tunakaa nyumba moja; mimi nilijifungua mtoto wakati huyu dada yumo nyumbani.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wafalme 3:16-17

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha