Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 8:12-13

Warumi 8:12-13 SRUV

Basi, kama ni hivyo, ndugu, tu wadeni, si wa mwili tuishi kwa kufuata mambo ya mwili, kwa maana kama tukiishi kwa kufuata mambo ya mwili, mwataka kufa; bali kama mkiyaua matendo ya mwili kwa Roho, mtaishi.

Soma Warumi 8

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Warumi 8:12-13

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha