Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 22:16

Ufunuo 22:16 SRUV

Mimi Yesu nimemtuma malaika wangu kuwashuhudia ninyi mambo hayo katika makanisa. Mimi ndimi niliye Shina na Mzawa wa Daudi, ile nyota yenye kung'aa ya asubuhi.

Soma Ufunuo 22

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 22:16

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha