Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 15:3

Ufunuo 15:3 SRUV

Nao wauimba wimbo wa Musa, mtumwa wa Mungu, na wimbo wa Mwana-kondoo, wakisema, Ni makuu, na ya ajabu, matendo yako, Ee Bwana Mungu Mwenyezi; Ni za haki, na za kweli, njia zako, Ee Mfalme wa mataifa.

Soma Ufunuo 15

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 15:3

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha