Zaburi 30:6-7
Zaburi 30:6-7 SRUV
Nami nilipofanikiwa nilisema, Sitaondoshwa milele. BWANA, kwa radhi yako Wewe uliuimarisha mlima wangu. Uliuficha uso wako, Nami nikafadhaika.