Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 119:49-51

Zaburi 119:49-51 SRUV

Likumbuke neno ulilomwambia mtumishi wako, Ambalo kwalo umenipa tumaini. Hii ndiyo faraja yangu katika taabu yangu, Ya kwamba ahadi yako imenipa moyo. Wenye kiburi wamenidharau mno, Lakini sikiuki sheria zako.

Soma Zaburi 119

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha