Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Filemoni 1:15-16

Filemoni 1:15-16 SRUV

Maana, labda ndiyo sababu alitengwa nawe kwa muda, ili uwe naye tena milele; tokea sasa, si kama mtumwa, bali zaidi ya mtumwa, ndugu mpendwa; kwangu mimi sana, na kwako wewe zaidi sana, katika mwili na katika Bwana.

Soma Filemoni 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Filemoni 1:15-16

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha