Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 4:13-15

Marko 4:13-15 SRUV

Akawaambia, Hamjui mfano huu? Basi mifano yote mtaitambuaje? Mpanzi huyo hulipanda neno. Hawa ndio walio kando ya njia lipandwapo neno; nao, wakiisha kusikia, mara huja Shetani, akaliondoa lile neno lililopandwa mioyoni mwao.

Soma Marko 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Marko 4:13-15

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha