Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 2:29-32

Luka 2:29-32 SRUV

Sasa, Bwana, wamruhusu mtumishi wako, Kwa amani, kama ulivyosema; Kwa kuwa macho yangu yameuona wokovu wako, Uliouweka tayari machoni pa watu wote; Nuru ya kuwa mwangaza wa Mataifa, Na kuwa utukufu wa watu wako Israeli.

Soma Luka 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Luka 2:29-32

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha