Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 12:27-28

Yohana 12:27-28 SRUV

Sasa roho yangu imefadhaika; nami nisemeje? Baba, uniokoe katika saa hii? Lakini ni kwa ajili ya hayo nilivyoifikia saa hii. Baba, ulitukuze jina lako. Basi ikaja sauti kutoka mbinguni, Nimelitukuza, nami nitalitukuza tena.

Soma Yohana 12

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohana 12:27-28

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha