Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 40:13-14

Isaya 40:13-14 SRUV

Ni nani aliyemwongoza Roho ya BWANA, na kumfundisha kwa kuwa mshauri wake? Alifanya shauri na nani, ni nani aliyemwelimisha na kumfunza njia ya hukumu, na kumfunza maarifa, na kumwonesha njia ya fahamu?

Soma Isaya 40

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Isaya 40:13-14

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha