Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wathesalonike 2:7-8

1 Wathesalonike 2:7-8 SRUV

bali tulikuwa wapole katikati yenu, kama vile mlezi awatunzavyo watoto wake mwenyewe. Hivyo ndivyo nasi tukiwajali kwa upendo mwingi, tuliona furaha kuwapa, si Injili ya Mungu tu, bali na roho zetu pia, kwa sababu mmekuwa wapendwa wetu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wathesalonike 2:7-8

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha