1 Samweli 12:20-21
1 Samweli 12:20-21 SRUV
Samweli akawaambia, Msiogope; ni kweli mmeutenda uovu huu wote; lakini msigeuke na kuacha kumfuata BWANA, bali mtumikieni BWANA kwa mioyo yenu yote. Wala msigeuke upande, maana, kufuata vitu vya ubatili