Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Petro 2:11-12

1 Petro 2:11-12 SRUV

Wapenzi, nawasihi kama wapitaji na wasafiri, ziepukeni tamaa za mwili zipiganazo na roho. Muwe na mwenendo mzuri kati ya Mataifa, ili, iwapo huwasingizia kuwa watenda mabaya, wayatazamapo matendo yenu mazuri, wamtukuze Mungu siku ya kujiliwa.

Soma 1 Petro 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Petro 2:11-12

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha