Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 119:49-51

Zab 119:49-51 SUV

Likumbuke neno ulilomwambia mtumishi wako, Kwa sababu umenitumainisha. Hii ndiyo faraja yangu katika taabu yangu, Ya kwamba ahadi yako imenihuisha. Wenye kiburi wamenidharau mno, Sikujiepusha na sheria zako.

Soma Zab 119

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha