Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 24:28-29

Mit 24:28-29 SUV

Usimshuhudie jirani yako pasipo sababu, Wala usidanganye kwa midomo yako. Usiseme, Nitamtenda kama alivyonitenda mimi; Nitamlipa mtu huyo sawasawa na tendo lake.

Soma Mit 24

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mit 24:28-29

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha