Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mk 4:24-25

Mk 4:24-25 SUV

Akawaambia, Angalieni msikialo; kipimo kile mpimacho ndicho mtakachopimiwa, na tena mtazidishiwa. Kwa maana mwenye kitu atapewa, naye asiye na kitu, hata kile alicho nacho atanyang’anywa.

Soma Mk 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mk 4:24-25

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha