Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mt 22:34-36

Mt 22:34-36 SUV

Na Mafarisayo waliposikia ya kwamba amewafumba kinywa wale Masadukayo, walifanya shauri pamoja. Mmoja wao, mwana-sheria, akamwuliza, akimjaribu; Mwalimu, katika torati ni amri ipi iliyo kuu?

Soma Mt 22

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mt 22:34-36

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha