Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mt 14:34-36

Mt 14:34-36 SUV

Na walipokwisha kuvuka, walifika nchi ya Genesareti. Na watu wa mahali pale walipomtambua, walituma watu kwenda nchi zile zilizo kandokando, wakamletea wote waliokuwa hawawezi; nao wakamsihi waguse hata pindo la vazi lake tu; na wote waliogusa wakaponywa kabisa.

Soma Mt 14

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mt 14:34-36

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha