Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yn 12:27-28

Yn 12:27-28 SUV

Sasa roho yangu imefadhaika; nami nisemeje? Baba, uniokoe katika saa hii? Lakini ni kwa ajili ya hayo nilivyoifikia saa hii. Baba, ulitukuze jina lako. Basi ikaja sauti kutoka mbinguni, Nimelitukuza, nami nitalitukuza tena.

Soma Yn 12

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yn 12:27-28

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha