Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Efe 1:9-10

Efe 1:9-10 SUV

akiisha kutujulisha siri ya mapenzi yake, sawasawa na uradhi wake, alioukusudia katika yeye huyo. Yaani, kuleta madaraka ya wakati mkamilifu atavijumlisha vitu vyote katika Kristo, vitu vya mbinguni na vitu vya duniani pia. Naam, katika yeye huyo

Soma Efe 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Efe 1:9-10

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha