Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mdo 27:41-42

Mdo 27:41-42 SUV

Lakini wakafikia mahali palipokutana bahari mbili, wakaiegesha merikebu, omo ikakwama ikakaa isitikiswe, bali tezi ilikuwa imefumuliwa kwa nguvu za mawimbi. Shauri la askari lilikuwa kuwaua wafungwa, mtu asiogelee na kukimbia.

Soma Mdo 27

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mdo 27:41-42

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha