Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mdo 27:24-25

Mdo 27:24-25 SUV

akaniambia, Usiogope, Paulo, huna budi kusimama mbele ya Kaisari; tena, tazama, Mungu amekupa watu wote wanaosafiri pamoja nawe. Basi, wanaume, changamkeni; kwa sababu namwamini Mungu, ya kwamba yatakuwa vile vile kama nilivyoambiwa.

Soma Mdo 27

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mdo 27:24-25

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha