Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mdo 23:18-19

Mdo 23:18-19 SUV

Basi akamchukua, akampeleka kwa jemadari, akamwambia, Paulo, yule mfungwa, aliniita akataka nikuletee kijana huyu kwa kuwa ana neno la kukuambia. Yule jemadari akamshika mkono akajitenga pamoja naye kando, akamwuliza kwa faragha, Una neno gani utakalo kuniarifu?

Soma Mdo 23

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mdo 23:18-19

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha