Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Kor 1:23-24

2 Kor 1:23-24 SUV

Lakini mimi namwita Mungu awe shahidi juu ya roho yangu, ya kwamba, kwa kuwahurumia sijafika Korintho. Si kwamba tunatawala imani yenu; bali tu wasaidizi wa furaha yenu; maana kwa imani yenu mnasimama.

Soma 2 Kor 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Kor 1:23-24

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha