Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Fal 6:6

1 Fal 6:6 SUV

Chumba cha chini kilikuwa mikono mitano upana wake, na chumba cha katikati kilikuwa mikono sita upana wake, na chumba cha tatu kilikuwa mikono saba upana wake; kwa kuwa upande wa nje akaupunguza ukuta wa nyumba pande zote, ili boriti zisishikamane kutani mwa nyumba.

Soma 1 Fal 6

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Fal 6:6

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha