Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Fal 3:27-28

1 Fal 3:27-28 SUV

Ndipo mfalme akajibu, akasema, Mpe huyu wa kwanza mtoto aliye hai, maana yeye ndiye mama yake. Na Israeli wote wakapata habari za hukumu ile aliyoihukumu mfalme wakamwogopa mfalme; maana waliona ya kuwa hekima ya Mungu ilikuwa ndani yake, ili afanye hukumu.

Soma 1 Fal 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Fal 3:27-28

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha