Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Fal 3:16-17

1 Fal 3:16-17 SUV

Ndipo wanawake wawili, makahaba, walimwendea mfalme, wakasimama mbele yake. Na mwanamke mmoja akasema, Ee bwana wangu, mimi na mwanamke huyu tunakaa katika nyumba moja; nami nalizaa nilipokuwa pamoja naye nyumbani.

Soma 1 Fal 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Fal 3:16-17

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha