Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Yoh 5:20-21

1 Yoh 5:20-21 SUV

Nasi twajua kwamba Mwana wa Mungu amekwisha kuja, naye ametupa akili kwamba tumjue yeye aliye wa kweli, nasi tumo ndani yake yeye aliye wa kweli, yaani, ndani ya Mwana wake Yesu Kristo. Huyu ndiye Mungu wa kweli, na uzima wa milele. Watoto wadogo, jilindeni nafsi zenu na sanamu.

Soma 1 Yoh 5

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Yoh 5:20-21

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha