Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Yoh 5:16-17

1 Yoh 5:16-17 SUV

Mtu akimwona ndugu yake anatenda dhambi isiyo ya mauti, ataomba, na Mungu atampa uzima kwa ajili ya hao watendao dhambi isiyo ya mauti. Iko dhambi iliyo ya mauti. Sisemi ya kwamba ataomba kwa ajili ya hiyo. Kila lisilo la haki ni dhambi, na dhambi iko isiyo ya mauti.

Soma 1 Yoh 5

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Yoh 5:16-17

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha