Alizungumza nao kutoka nguzo ya wingu; walizishika sheria zake na amri alizowapa. Ee BWANA, wetu, ndiwe uliyewajibu, kwa Israeli ulikuwa Mungu mwenye kusamehe, ingawa uliadhibu matendo yao mabaya. Mtukuzeni BWANA Mungu wetu, mwabuduni kwenye mlima wake mtakatifu, kwa maana BWANA Mungu wetu ni mtakatifu.
Soma Zaburi 99
Sikiliza Zaburi 99
Shirikisha
linganisha matoleo yote: Zaburi 99:7-9
Hifadhi mistari, soma bila mtandao, tazama klipu za mafunzo, na zaidi!
YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video