BWANA anatawala, mataifa na yatetemeke; anakalia kiti cha enzi katikati ya makerubi, dunia na itikisike. BWANA ni mkuu katika Sayuni; ametukuzwa juu ya mataifa yote. Wanalisifu jina lako ambalo ni kuu na la kuogopwa: yeye ni mtakatifu!
Soma Zaburi 99
Sikiliza Zaburi 99
Shirikisha
linganisha matoleo yote: Zaburi 99:1-3
Hifadhi mistari, soma bila mtandao, tazama klipu za mafunzo, na zaidi!
YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video