Zaburi 30:6-7
Zaburi 30:6-7 NEN
Nilipofanikiwa nilisema, “Sitatikiswa kamwe.” Ee BWANA, uliponijalia, uliuimarisha mlima wangu, lakini ulipouficha uso wako nilifadhaika.