Zaburi 119:73-74
Zaburi 119:73-74 NEN
Mikono yako ilinifanya na kuniumba, nipe ufahamu niweze kujifunza amri zako. Wakuchao wafurahie wanaponiona, kwa kuwa nimeweka tumaini langu katika neno lako.